Berlin, Ujerumani
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia, Ufaransa tayari wamefuzu kushiriki fainali hizo zinazotarajia kupigwa mwakani huko Qatar.
Timu nyingine ambayo pia imefuzu kushiriki fainali hizo ni England ambao ndoto zao kulitwaa taji hilo mwaka 2018 zilizimwa na Ufaransa baada ya kushindwa kutamba katika mechi ya fainali iliyozikutanisha timu hizo.
Timu nyingine ambazo tayari zimefuzu ni pamoja na Denmark, Hispania, Croatia, Uswisi, Ubelgiji,
Uholanzi, Brazil, Serbia, Argentina na wenyeji Qatar.
Timu hizo zitaungana na nyingine 19 kufikisha idadi ya timu 32 zitakazopambana kulibeba taji hilo linaloshindaniwa kila baada ya miaka minne.
Kimataifa Ufaransa, England zatangulia Qatar mapema
Ufaransa, England zatangulia Qatar mapema
Read also