Hassan KinguSimba haipo vizuri, mwenendo wa timu kiujumla hauridhishi, utata ulianza kuonekana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya timu hiyo ...
Makala
Na Hassan KinguMsimu wa 2024-25 umeisha, naiangalia Simba iliyofikia fainali Kombe la Shirikisho Afrika, ikafungwa na RS Berkane mabao 2-0 na kus...
Na Hassan KinguMshambuliaji wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Kenya, Boniface Ambani (pichani) amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa AFC Leopards,...
Na mwandishi wetuKwa mara ya kwanza mechi ya watani wa jadi katika soka la Tanzania, Simba na Yanga ilichezeshwa na mwamuzi Amin Mohammed Omar ku...
Na mwandishi wetuKlabu ya Simba imeachana na kiungo Fabrice Ngoma na hivyo mchezaji huyo hatokuwa na timu hiyo kwenye Ligi Kuu NBC na michuano ya...
Na Hassan KinguNimeikumbuka kauli ya kocha na beki wa zamani wa Mtibwa Sugar na timu ya taifa ya Tanzania au Taifa Stars, Mecky Maxime aliposema ...
Na Hassan KinguKama ambavyo mashabiki England wanalikumbuka bao la mkono alilowafunga Diego Maradona kwenye fainali za Kombe la Dunia 1986 ndivyo...
Madrid, HispaniaJulai 16, 2024, Real Madrid inamtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Kylian Mbappe ambaye anaongeza nguvu mpya na ya kipekee ...
Na mwandishi wetuSimba SC inaendelea kujitafuta, kujipanga kwa ajili ya kuonesha umwamba wake msimu ujao baada ya kushindwa kutamba katika misimu...
Na Hassan KinguSimba imeachana na kiungo wake, Saido Ntibazonkiza ambaye habari za kuachwa kwake zimewekwa wazi kwenye mitandao ya kijamii katika...