Na mwandishi wetuUongozi wa Yanga umetangaza kumtimua kocha wake mkuu, Pedro Concalves na kwa kipindi hiki hadi mwisho wa msimu timu itakuwa chin...
London, EnglandArsenal hatimaye imefuzu kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza tangu ifanye hivyo mara ya mwisho mwaka 2006...
Na mwandishi wetuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuomba nyota wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba awe balozi wa n...
Manchester, EnglandKocha wa muda wa Man United, Michael Carrick amefanya kile ambacho kimekuwa kikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa timu hiyo, k...
Manchester, EnglandKocha wa zamani wa Man United, Sir Alex Ferguson amelazimika kukimbizwa hospitali Jumapili, Mei 3, 2026 muda mfupi kabla ya me...
Na mwandishi wetuMahasimu wa soka nchini Tanzania, Simba na Yanga wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika mechi ya Ligi K...
Geneva, SwitzerlandMaofisa wa soka wa Iran watafanya kikao na wenzao wa Fifa katika siku za karibuni kwa lengo la kuweka sawa mipango ya mechi za...
Na mwandishi wetuKlabu ya Simba inaamini kuwa mechi na mahasimu wao wa jadi, Yanga maarufu Derby ya Kariakoo ndiyo iliyobeba hatma ya timu hiyo k...
Manchester, EnglandKiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo amesaini mkataba mpya ambao utafikia ukomo mwaka 2031 hali ambayo inamaliza utata u...
Na Hassan KinguUbora wa viwanja vya soka ni eneo muhimu ambalo halipaswi kupuuzwa kwa namna yoyote ile hasa ubora huo unapohusisha eneo la kuchez...