Rais wa Fifa, Gianni Infantino Nyon, UswiziShirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) na rais wake, Gianni Infantino wamelaumiwa kwa usaliti kupitia ...
Na mwandishi wetuTamasha ya Yanga Day limeingia doa baada ya timu hiyo kuchapwa mabao 2-1 na timu ya Aigles du Congo ya DR Congo katika mechi ya ...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema ataendelea kusajili wachezaji ili kukifanya kikosi chake kiwe bora baada ya kumkosa Viniciu...
Na mwandishi wetuSherehe za Simba Day zilizoandamana na kumbukumbu ya miaka 90 tangu kuanzishwa kwa klabu ya Simba zimeingia doa baada ya timu hi...
Madrid, HispaniaMshambuliaji Vinícius Junior 'Vini Jr' wa Real Madrid hatimaye amevunja ukimya kwa kukubali ofa mpya inayoandamana na mkataba wa ...
Na mwandishi wetuInjinia Hersi Said ataendelea kuiongoza klabu ya Yanga kwa kipindi kingine cha miaka minne baada ya kupita bila kupingwa katika ...
New York, MarekaniFerran Torres ameibuka shujaa baada ya kufunga bao pekee na kuiwezesha Hispania kutoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Argentina...
Na mwandishi wetuBaada ya kuwapo uvumi kuhusu Kelvin Nashon kutua Simba, hatimaye klabu hyo imemtangaza rasmi kiungo huyo kuwa mchezaji wao mpya ...
Miami, MarekaniEngland imeshika nafasi ya tatu kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 ikiilaza Ufaransa mabao 6-4 huku Jude Bellingham akiweka rek...
Na mwandishi wetuKlabu ya soka ya Simba imetangaza kuachanana winga wake Ladack Chasambi ambaye sasa ni rasmi hatokuwa na timu hiyo kwa msimu uja...