Na mwandishi wetuBondia Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' anatarajia kupanda ulingoni Julai 15, mwaka huu kuzichapa na Erick Katompa katika pambano la ...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza amesema hana mpango wa kushindana na mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kuwania kiat...
Riyadh, Saudi ArabiaKarim Benzema amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea klabu ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia ikiwa ni takriban siku tatu baad...
Na mwandishi wetuYanga imetoka sare ya mabao 3-3 na Mbeya City wakati Simba ikiilaza Polisi Tanzania 6-1, Saido Ntibanzokiza akifunga mabao matan...
London, EnglandTottenham Hotspur imethibitisha kuwa Ange Postecoglou ndiye kocha mpya wa timu hiyo baada ya kusaini mkataba wa miaka minne na hiv...
Na mwandishi wetuMwanasheria wa kiungo Feisal Salum au Fei Toto, Jasmin Razak amesema kuwa sasa wako tayari kukutana na Yanga kulimaliza suala la...
London, EnglandNahodha wa Man City, Ilkay Gundogan huenda akaihama timu hiyo baada ya kutakiwa na timu nne tofuati ingawa kocha Pep Guardiola ana...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro amejiweka kando na timu hiyo baada ya kile kilichoelezwa kuwa ni kushindwana kwa ma...
Paris, UfaransaKlabu ya PSG imemfuta kazi kocha Christophe Galtier huku kukiwa na habari kwamba mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Bayern Munich, J...
Na mwandishi wetuWachezaji 16 wa timu ya taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni wanatarajia kuingia kambini Jumapili ya wiki hii kujiandaa na mich...