Istanbul, UturukiBaada ya kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na hatimaye kukamilisha msimu na mataji matatu, kocha wa Man City, Pep Guardiol...
Istanbul, UturukiKocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi amesema anajivunia mafanikio ya timu yake licha ya kushindwa kutamba mbele ya Man City kati...
Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu NBC wakati kocha wake ...
Istanbul, UturukiKwa mara ya kwanza Man City imeshinda mataji matatu 'treble' msimu mmoja hapo hapo ikiweka rekodi nyingine ya kubeba kwa mara ya...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, George Mpole amesema kwa sasa anajifua vilivyo akifanya mazoezi mara mbili kwa siku kwa a...
Na mwandishi wetuMabondia 16 wanatarajiwa kupanda ulingoni katika mapambano manane ya utangulizi kuelekea pambano la Selemani Kidunda dhidi ya Er...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imeisifu Azam FC kwa uungwana iliouonesha kwenye suala la usajili wa kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kufuata t...
Saido Ntibazonkiza Na mwandishi wetuMabao saba aliyofunga Saido Ntibazonkiza wa Simba katika mechi mbili za mwisho za Ligi Kuu NBC msimu huu yame...
Barcelona, HispaniaUamuzi wa Lionel Messi kujiunga na Inter Miami FC ya Marekani unaonekana kuwakera Barca ambao walipania kumrudisha mchezaji hu...
London, EnglandMwenyekiti wa klabu ya West Ham, David Sullivan ameamua kumuaga kiaina nahodha wao, Declan Rice baada ya kusema ana uhakika asilim...