Paris, UfaransaKlabu ya PSG inadaiwa kumuondoa mshambuliaji Kylian Mbappe katika kikosi cha timu hiyo ambacho keshokutwa Jumamosi kitacheza mechi...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Coastal Union, Mwinyi Zahera amemtaka kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu (pichani) kuitumia nafa...
Na mwandishi wetu, TangaYanga imetinga fainali ya michuano ya Ngao ya Jamii kwa kuichapa Azam FC mabao 2-0 yaliyofungwa na Stephanie Aziz Ki na C...
Sydney, AustraliaBaada ya timu ya wanawake ya Nigeria au Super Falcons kutolewa kwenye fainali za Kombe la Dunia, imebainika kuwa wachezaji wa ti...
Na mwandishi wetuYanga na Azam FC leo Jumatano zitaumana katika mechi ya Ngao ya Jamii zikiwa na falsafa za makocha wapya, Miguel Gamondi wa Yang...
Sydney, AustraliaMshambuliaji wa timu ya wanawake ya England, Lauren James ameomba radhi baada ya kupewa kadi nyekundu katika mechi ya 16 bora ya...
Na mwandishi wetuNyota wa Dallas FC ya Marekani, Bernard Kamungo amesema yuko tayari kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars huku akion...
Na mwandishi wetuWizara ya Afya na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama umetoa s...
Dubai, UAEKiungo fundi wa zamani wa Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania, Andres Iniesta, 39, amejiunga na klabu ya Emirates ya Umoja wa Falme ...
Na mwandishi wetuPazia la Ligi Kuu NBC msimu wa 2023-24 litafungiliwa Agosti 16 kwa mabingwa watetezi Yanga kurusha karata ya kwanza Agosti 23 dh...