London, EnglandHatimaye Chelsea imeipiga rasmi bao Liverpool kwa kumsajili kiungo Moises Caicedo kutoka Brighton kwa ada ya Pauni 100 ambayo itao...
Na mwandishi wetuOfisa Habari wa Azam FC, Thabiti Zakaria amesema pamoja na kiwango alichokionesha kipa wao, Zuberi Foba kwenye mechi yao dhidi y...
Buenos Aires, ArgentinaBeki wa zamani wa Brazil, Marcelo ambaye kwa sasa anaichezea Fluminense ya Brazil, amefungiwa mechi tatu baada ya kumvunja...
Na mwandishi wetu, TangaSimba leo Jumapili imeuanza vyema msimu wa 2023-24 kwa kuibwaga Yanga kwa penalti 3-1 kwenye Uwanja wa Mkwakwani na kubeb...
London, EnglandBondia Anthony Joshua amefanikiwa kumchapa Robert Helenius kwa KO ya raundi ya saba, katika pambano la uzito wa juu lililofayika k...
Ibra Class Na mwandish wetuBondia Ibrahim Class ameeleza kuwa kwa sasa yuko kwenye maandalizi makubwa ya kuhakikisha anaibuka na ushindi kwenye p...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa Paris St-Germain (PSG) ya Ufaransa, Kylian Mbappe (pichani) amerejea kwenye mazoezi ya kikosi cha kwanza na huenda...
London, EnglandLiverpool huenda ikamkosa kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (pichani) ambaye zipo habari kwamba Chelsea imempandia dau ikiwa taya...
Munich, UjerumaniMshambuliaji wa zamani wa Tottenham Hotspur, Harry Kane (pichani) ameanza na mguu mbaya kwenye timu yake mpya ya Bayern Munich b...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Geita Gold, Hemed Morocco (pichani) amesema wanaweza kuifunga timu yoyote kwani wana kikosi kizuri cha vijana weny...