Madrid, HispaniaRais wa Shirikisho la Soka Hispania (REEF), Luis Rubiales (pichani) hatimaye amejiuzulu nafasi yake baada ya kuandamwa na tukio l...
Na mwandishi wetuWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro (pichani) ameupongeza uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kui...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Habibu Kondo amesema wamepanga kuchukua pointi tatu za kwanza msimu huu kwa kuwafunga Dodoma Jiji ka...
Milan, ItaliaKiungo wa Juventus, Paul Pogba amebainika kutumia dawa za kusisimua misuli na huenda akajikuta akifungiwa kucheza soka kwa miaka min...
Na mwandishi wetuUongozi wa Azam FC umebainisha kuwa beki wa kulia, Djuma Shabani yupo kwenye timu yao kwa ajili ya kufanya mazoezi tu na hawajam...
Na mwandishi wetuNaibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma 'MwanaFA' (pichani) ameziomba Simba na Yanga kusaidiana katika mich...
Rio de Janeiro, BrazilMshambuliaji wa Brazil, Neymar kwa sasa ndiye kinara wa wakati wote wa mabao wa timu ya taifa ya Brazil akiwa amempiku Pele...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa zamani wa Yanga, Bernard Morrison amepewa jezi namba tano katika timu yake mpya ya AS FAR ya Morocco.Morrison am...
Madrid, HispaniaBeki wa timu ya Real Madrid, Dani Carvajal (pichani) amemtetea rais wa Shirikisho la Soka Hispania (REEF), Luis Rubiales aliyesim...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Ernst Middendorp (pichani) ameanza kujiwinda na mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika k...