Na mwandishi wetuKocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amewapongeza wachezaji wake kwa kujituma na kiwango walichokionesha hadi kupata pointi tatu...
Na mwandishi wetuYanga leo Jumatano imekamilisha kibabe hesabu za mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu NBC kwa kuichapa Namungo mabao 2-0, mechi iliyop...
Brusells, UbelgijiKiungo wa Ubelgiji, Eden Hazard ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya Taifa akiwa na umri wa miaka 31.Hazard ambaye kwa s...
Na mwandishi wetuKuelekea mchezo wao wa keshokutwa wa raundi ya pili ya Kombe la FA, Azam imeahidi kuingia uwanjani kwa tahadhari na kuiheshimu M...
Na mwandishi wetuKichapo cha mabao 2-1 walichokipata Simba Queens jana kwa JKT Queens kimemchefua kocha mkuu wa timu hiyo, Charles Lukula ambaye ...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole leo Jumatano ameachana rasmi na klabu hiyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili wal...
Doha, QatarKocha wa Ureno, Fernando Santos amemtupa benchi staa wake, Cristiano Ronaldo katika mechi na Switzeland na kumpa nafasi hiyo, Goncalo ...
Na mwandishi wetuBondia Hassan Mwakinyo ameshuka viwango vya ubora kwa mara nyingine na sasa si bondia namba moja Tanzania kwenye kila uzani baad...
Na mwandishi wetuKocha wa Azam FC, Kali Ongala ameeleza kufurahishwa na uwezo unaooneshwa na vijana wake baada ya jana Jumatatu kufanikiwa kuibuk...
Na mwandishi wetuUongozi wa timu ya Ruvu Shooting leo Jumanne, umemtangaza Mbwana Makata kuwa kocha mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja ...