Na mwandishi wetuVigogo vya soka nchini, Simba na Yanga hatimaye wamewajua wapinzani wao kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la ...
Doha, QatarKocha wa timu ya England, Gareth Southgate amesema atafanya tathmini na Chama cha Soka (FA) baada ya England kutolewa kwenye fainali z...
Doha, QatarWakati Neymar akisema hana uhakika wa asilimia 100 kuendelea kuichezea Brazil katika fainali zijazo za Kombe la Dunia, kocha wa timu h...
A-Thumama, QatarKocha wa timu ya Taifa ya Ureno, Fernando Santos amesema kwamba hajutii kutompanga Cristiano Ronaldo katika kikosi cha kwanza cha...
Na Hassan KinguOfisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Je nini kinafuata baada ya uamuzi ...
Doha, QatarMorocco, leo Jumamosi imekuwa timu ya kwanza Afrika kufikia hatua ya nusu fainali katika historia ya Kombe la Dunia baada ya kuitoa Ur...
Al-Rayyan, QatarLuka Modric wa Croatia kwa mara nyingine jana Ijumaa katika mechi dhidi ya Brazil amedhihirisha si tu alivyo kiungo fundi na mpis...
Al-Rayyan, QatarStaa wa Brazil, Neymar amejikuta akimwaga chozi baada ya Brazil kutolewa na Croatia katika robo fainali ya Kombe la Dunia na kuto...
Doha, QatarMshtuko, ndoto za Brazil kubeba taji la sita la dunia zimezimwa rasmi na Croatia, ulimwengu wa soka umeachwa katika mshtuko mkubwa huk...
Doha, QatarBaada ya kukumbana na maswali mengi kumhusu Cristiano Ronaldo, Kocha wa Ureno, Fernando Santos amesema umefika wakati kwa waandishi ku...