Doha, QatarBrazil yenye Neymar, moja ya timu inayopewa nafasi kubwa kubeba taji la Dunia, leo Ijumaa jioni katika mechi ya robo fainali inaumana ...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda ameeleza kuwa wataingia kwa tahadhari kubwa pindi watakaposhuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mk...
Na mwandishi wetuAliyekuwa kocha wa Yanga Princess, Edna Lema amewashukuru viongozi wa Yanga, wachezaji na mashabiki kwa ushirikiano waliompa kwa...
Paris, UfaransaRais wa klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Nasser al-Khelaifi amesema ana uhakika mshambuliaji wao, Lionel Messi atabaki katika t...
Na mwandishi wetuMshambuliaji George Mpole amesema miongoni mwa sababu zilizomuondoa Geita Gold ni kuamini kuwa huu ni muda sahihi wa yeye kutafu...
Madrid, HispaniaBaada ya Hispania kutolewa kwenye fainali za Kombe la Dunia katika hatua ya mtoano, kocha wa timu hiyo, Luis Enrique ameachia nga...
Na mwandishi wetuUongozi wa klabu ya Azam umefunguka kuwa hawana mpango wa kutafuta kocha mkuu mpya kwa sasa kutokana na kuridhishwa na utendaji ...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele na Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda wamechaguliwa kuwa Mchezaji Bora na Kocha Bora wa mwezi...
Na mwandishi wetuKocha wa Yanga Princess, Edna Lema ameeleza kukosa uzoefu wa ligi kwa wachezaji wao wapya kulichangia kupoteza kwa bao 1-0 dhidi...
Doha, QatarWinga wa England, Raheem Sterling kesho Ijumaa anatarajia kurejea Qatar kwenye kikosi cha England tayari kwa ajili ya mechi ya Jumamos...