Barrancas, ColombiaWanajeshi zaidi ya 120 nchini Colombia wanaendesha operesheni kumsaka Luis Manuel Diaz ambaye ni baba wa mshambuliaji wa Liver...
Na mwandishi wetuWadhamini wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Klabu ya Yanga, Shirika la Bima la Taifa (NIC), limeahidi kutoa Sh milioni nne kwa mchezaj...
Na mwandishi wetuKocha wa Namungo, Denis Kitambi amesema siri ya kupata ushindi wa mabao 3-1 jana dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex ...
Barcelona, HispaniaBarcelona imeahidi kufanya uchunguzi wa matukio ya ubaguzi wa rangi anayodaiwa kufanyiwa mshambuliaji wa Real Madrid, Vinicius...
Liverpool, EnglandKlabu ya Liverpool imeeleza kufahamu matatizo yaliyoikumba familia ya mshambuliaji wake, Luis Diaz (pichani) ambaye baba na mam...
Na mwandishi wetuMabao ya mastraika, Jean Baleke na Patrick Phiri yameiwezesha Simba kuwazamisha wababe wa Yanga, Ihefu FC kwa kutoka na ushindi ...
Madrid, HispaniaKocha Carlo Ancelotti ameshangazwa na kiwango cha ufungaji mabao cha kiungo Jude Bellingham baada ya mchezaji huyo kufunga mabao ...
London, EnglandEddie Nketiah kwa mara ya kwanza ameifungia Arsenal mabao matatu (hat trick) wakati timu hiyo ikiichapa Sheffield United 5-0 katik...
Na mwandishi wetuMabao mawili ya Maxi Nzengeli yameiwezesha Yanga kutoka na ushindi wa 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu NBC dhidi ya Singida Big Star...
Na mwandishi wetuWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Nadumbaro (pichani) amesema hawatakuwa na msamaha kwa wanaojihusisha na utengene...