Berlin, UjerumaniUjerumani ndiye mwenyeji wa fainali za Euro 24 lakini timu hiyo inapitia kipindi kigumu na huenda kocha Julian Nagelsmann akatim...
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga imepania kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu na kuthibitisha hilo imejipanga kuhakikisha inapa...
Na Joseph ShaluwaMsanii nyota wa Afropop, Mr Eazi, ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la 'The Evil Genius' iliyokuwa ikisubiriwa...
Msanii aliyetambuliwa na ngoma ya Afrowave 'Drogba', Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao 'Wo Wo Wo' ikiwa ni kolabo na Mmarekani, Rich The ...
Rio de Janeiro, BrazilMshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Vinicius Junior amezindua kampeni kwa ajili ya kukabiliana na matuk...
Na mwandishi wetuAliyekuwa kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Fred Minziro amesema amekubaliana na uamuzi wa kumuondoa katika kikosi hicho ingawa am...
New York, MarekaniMoja ya jezi sita alizovaa mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi kwenye fainali za Kombe la Dunia...
Na Hassan KinguKipigo cha mabao 5-1 ilichokipata Simba mbele ya mahasimu wao Yanga, kimezua taharuki, ni jambo la kawaida hasa inapotokea kipigo ...
Na mwandishi wetuBeki wa zamani wa Man City, Benjamin Mendy ameamua kuifikisha klabu hiyo katika mahakama ya kazi akitaka alipwe mamilioni ya pau...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa PSG na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe amesea alijua kabla kuwa Lionel Messi angeshinda tuzo ya Ballon d'...