Na mwandishi wetuKocha wa timu ya mpira wa kikapu ya Pazi, Mohamed Mbwana amesema kutolewa mapema kwenye mashindano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Af...
Na mwandishi wetuSimba imeanza na sare ya bao 1-1 mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory C...
Na mwanadishi wetuKocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amefuta mapumziko ya wachezaji wake, akitaka wafikie kambini ili kutengeneza mpango mkakati...
Algers, AlgeriaYanga imeanza na mguu mbaya mechi za makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na CR Belouizdad ya Algeria ka...
Na mwandishi wetuKLABU ya Simba jioni ya Ijumaa hii imeweka wazi na kumtambulisha kocha wao mkuu mpya, Abdelhak Benchikha (pichani).Simba imemtan...
Rio de Janeiro, BrazilShirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetangaza kufanya uchunguzi baada ya kutokea vurugu katika mechi kati ya Brazil na...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa Simba, Daniel Cadena, amewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kuisapoti timu yao aliyoaindaa v...
Barcelona, HispaniaOfisi ya waendesha mashtaka nchini Hispania imetaka beki wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves apewe a...
Roma, ItaliaKocha wa Roma, Jose Mourinho amemshauri Carlo Ancelotti kutoondoka Real Madrid kwa madai kwamba ni mtu mwenye ukichaa pekee anayeweza...
Na mwandishi wetuKocha wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa amewaandaa vya kutosha vijana wake kwa mbinu mbadala zitakazowaweka salama ikiwezekan...