Na mwandishi wetuKipa wa Yanga, Djigui Diarra amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh milioni mbili kwa kumshambulia mwamuzi wa mechi ya Lig...
Belek, UturukiTimu ya soka ya taifa ya Iran imeingia uwanjani na vitambaa vya rangi nyeusi na mabegi ya watoto wa shule kabla ya mechi yao na Nig...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania 'Tafa Stars imeanza vibaya mechi maalum za Fifa (Fifa Series) kwa kupigwa bao 1-0 na timu ya Liechtens...
Paris, UfaransaMwanasoka mkongwe wa Ufaransa, Zinedine Zidane 'Zizou inadaiwa amekubali kuwa kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa na ataanza rasmi ...
Na mwandishi wetuKatika mkakati wa kusaka matokeo mazuri, uongozi wa klabu ya Yanga umeamua kuliongezea nguvu benchi la ufundi na kumtangaza Abdi...
Liverpool, EnglandKocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp ameuelezea uvumi uliopo kwamba anaelekea kuchukua majukumu ya kuinoa klabu ya Real M...
Na mwandishi wetuSimba imechupa hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kuinyuka TRA United mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri kuwa ukame wa kukosa kubeba taji kwa miaka sita limekuwa jambo gumu kwa timu hiyo kulikubal...
Na mwandishi wetuMzimu wa sare unaendelea kuisumbua Yanga katika Ligi Kuu NBC baada ya kujikuta ikipata matokeo ya sare ya bao 1-1 na Mtibwa Suga...
Tehran, IranShirikisho la Soka Iran limesisitiza kuwa nchi yao inaipinga Marekani na si fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini humo kua...