Na mwandishi wetuAliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ni miongoni mwa makocha waliowasilisha CV zao kuomba kazi ya kuinoa timu ya Raja C...
Na mwandishi wetuBurudani ya soka ya Ligi Kuu NBC itasimama kwa kipindi cha miezi miwili kuanzia Desemba 29 mwaka jana na kurejea Machi Mosi, 202...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amesema bado hajaamua lolote kuhusu mambo yake ya baadaye na klabu hiyo wakati huu aki...
Na mwandishi wetuKipa namba moja wa Yanga aliyekuwa majeruhi, Djigui Diara anatarajia kuwamo katika kikosi cha Yanga kitakachoumana na TP Mazembe...
Munich, UjerumaniKipa wa zamani wa Arsenal, Jens Lehmann anadaiwa yuko mbioni kuupiga bei mjengo wake wa kifahari baada ya kuwapo habari za kutib...
Na mwandishi wetuYanga imeendelea kutoa dozi kubwa katika Ligi Kuu NBC baada ya kuitandika Fountain Gate FC mabao 5-0 au mkono katika mechi iliyo...
Na Hassan KinguKama ambavyo mashabiki England wanalikumbuka bao la mkono alilowafunga Diego Maradona kwenye fainali za Kombe la Dunia 1986 ndivyo...
London, EnglandNyota wa Arsenal, Bukayo Saka amefanyiwa upasuaji baada ya kupata majeraha ya misuli na kwa mujibu wa kocha, Mikel Arteta huenda m...
Na mwandishi wetuNyota ya kiungo wa Simba, Fabrice Ngoma imeendelea kung'ara baada ya kufunga bao pekee na kuiwezesha timu yake kupata ushindi wa...
Manchester, EnglandKocha wa Man City, Pep Guardiola amesema kwamba klabu hiyo ipo katika hatari ya kukosa nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya...