Na mwandishi wetuSpika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson na wabunge wa Mbeya wameipa Sh 3,000,000 timu ya Mbeya City kama motisha kuelekea mc...
Barcelona, HispaniaRais wa Barcelona, Joan Laporta amesema kwamba uchunguzi unaofanywa kuhusu tuhuma za klabu hiyo kudauwa kumhonga makamu rais w...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta amepingana na hoja kwamba timu yake imeanza 'kuchanganywa na presha' za kulisaka taji la Ligi Kuu E...
Munich, UjerumaniKlabu ya Chelsea inadaiwa kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa Bayern Munich, Julian Nagelsmann ili akabidhiwe mikoba ya kui...
Na mwandishi wetuSimba leo Jumapili imefanikiwa kuchelewesha safari ya Yanga kulitetea taji la Ligi Kuu NBC baada ya kuichapa mabao 2-0 katika me...
Manchester EnglandKlabu ya Manchester City nayo imeingia katika mbio za kuisaka saini ya kiungo wa Borussia Dortmund na timu ya Taifa ya England,...
London, EnglandKocha wa muda wa Chelsea, Frank Lampard amewalaumu wachezaji wake kwa kutokuwa wapambanaji na sasa ana kazi ya kuweka mambo sawa k...
Na Hassan KinguKesho Jumapili shughuli za wapenda soka zitasimama kwa dakika 90 kupisha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga ambazo zinakutana...
Na mwandishi wetuLigi ya mpira wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BDL) inatarajiwa kuanza kuunguruma Mei 6, mwaka huu ambapo itashirikisha timu za ...
Na mwandishi wetuAliyekuwa kocha mkuu wa timu ya KMC, Thierry Hitimana amesema hataki kuzungumzia kwa kina kuhusu kufutwa kazi na timu hiyo lakin...