Na mwandishi wetuMwili wa daktari wa zamani wa klabu ya Azam, Mwanandi Mwankemwa unatarajiwa kuzikwa leo Alhamisi kwenye makaburi ya Kinondoni, D...
Manchester, EnglandMabao matano aliyofunga Erling Haaland katika ushindi wa 6-2 dhidi ya Luton katika mechi ya Kombe la FA yanadhihirisha kwamba ...
Na mwandishi wetuShirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) limeishukuru Serikali ya Tanzania kwa kujitolea kugharamia kambi za timu za taifa z...
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Erik ten Hag amemjia juu Jamie Carragher kwa maoni ambayo amekuwa akitoa kuhusu timu hiyo baada ya kichap...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Mashujaa, Reliant Lusajo ametamba kuifungia timu hiyo mabao ya kutosha kuliko alivyokuwa Namungo FC.Akizungumza ...
London, EnglandKocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino amesema anaungwa mkono na wamiliki wa klabu hiyo licha ya kuibuka presha baada ya kupoteza m...
Na mwandishi wetuSimba inachofikiria ni mechi yao na Jwaneng Galaxy, baada ya kurejea kutoka Ivory Coast, kikosi cha timu hiyo kimepitiliza kambi...
Paris, UfaransaKocha wa timu ya PSG ya Ufaransa, Luis Enrique amesema timu yake inahitaji kujiandaa na maisha bila ya mshambuliaji wao tegemeo, K...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Azam FC, Youssouf Dabo ameeleza kutoridhishwa na mwenendo wa kikosi chake katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi K...
London, EnglandAdhabu iliyopewa klabu ya Everton ya kupokwa pointi katika Ligi Kuu England (EPL) kwa kosa la kwenda kinyume na kanuni ya matumizi...