Na mwandishi wetuSimba imeaga kiume michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika hatua ya robo fainali kwa kulala kwa mikwaju ya penalti 4-3 mbele ...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kuziongezea fedha timu za Simba na Yanga kufikia Sh milioni 10 kwa kila bao wat...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ametajwa kuwa mfungaji wa bao bora la wiki katika mechi za mkondo wa kwanza hatua ya robo f...
Na mwandishi wetuZikiwa zimesalia siku tatu kabla ya Yanga kurudiana na Rivers United katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, kocha msaidizi...
Manchester, EnglandBaada ya kuichapa Arsenal mabao 4-1, kocha wa Man City, Pep Guardiola amesema kwamba upepo wa taji la Ligi Kuu England (EPL) h...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Rivers United ya Nigeria...
Na mwandishi wetuMshambuliaji nyota wa Yanga, Fiston Mayele amesema anatamani mno kubeba tuzo ya mfungaji bora katika michuano ya Kombe la Shirik...
Na mwandishi wetuOfisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amesema wamelazimika kwenda nchini Morocco ili kuipa timu muda wa kutosha kuizoea hal...
Paris, UfaransaWashambuliaji wa timu ya Paris St-Germain (PSG) ya Ufaransa, Lionel Messi na Neymar wako mbioni kuihama timu hiyo, Neymar akiwaniw...
London, EnglandKipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris ametaka mashabiki wa timu hiyo waombwe radhi baada ya kufungwa mabao 6-1 na Newcastle, mato...