Paris, UfaransaMshambuliaji wa klabu ya PSG ya Ufaransa, Neymar (pichani) yuko mbioni kwenda Saudi Arabia kujiunga na klabu ya Al Hilal ambayo hi...
Kimataifa
Istanbul, UturukiRais wa klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa, Nasser Al-Khelaifi amesema hahusiki kwa namna yoyote katika mpango wa Sh...
Istanbul, UturukiBaada ya kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na hatimaye kukamilisha msimu na mataji matatu, kocha wa Man City, Pep Guardiol...
Istanbul, UturukiKocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi amesema anajivunia mafanikio ya timu yake licha ya kushindwa kutamba mbele ya Man City kati...
Istanbul, UturukiKwa mara ya kwanza Man City imeshinda mataji matatu 'treble' msimu mmoja hapo hapo ikiweka rekodi nyingine ya kubeba kwa mara ya...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, George Mpole amesema kwa sasa anajifua vilivyo akifanya mazoezi mara mbili kwa siku kwa a...
Barcelona, HispaniaUamuzi wa Lionel Messi kujiunga na Inter Miami FC ya Marekani unaonekana kuwakera Barca ambao walipania kumrudisha mchezaji hu...
London, EnglandMwenyekiti wa klabu ya West Ham, David Sullivan ameamua kumuaga kiaina nahodha wao, Declan Rice baada ya kusema ana uhakika asilim...
Madrid, HispaniaWinga Cristiano Ronaldo amesema kwamba baada ya kustaafu soka ataufanyia kazi mpango wa kumiliki klabu ya soka.Ronaldo kwa sasa a...
Prague, Jamhuri ya CzechKwa mara ya kwanza baada ya miaka 43, West Ham United imetwaa taji la kwanza lenye hadhi jana Jumatano ilipoilaza Fiorent...