Vincent Kompany London, EnglandNahodha na beki wa kati mahiri aliyejijengea umaarufu akiwa Man City, Vincent Kompany ameteuliwa kuwa kocha mkuu w...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Mbeya City, Mathias Lule amesema wamekuja Dar es Salaam kwa lengo moja tu, kuhakikisha wanapata matokeo dhidi ya S...
London, EnglandDhamira ya kuifanya Tottenham Hotspur timu shindani katika Ligi Kuu England na Ulaya inaendelea na leo imemsaini kiungo, Yves Biss...
Na mwandishi wetuGeita Gold jana imefurahia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji lakini kocha wa timu hiyo, Fred Felix Minziro hajafurahishw...
Super Eagles Nigeria yaichapa Sao Tome 10-0 Timu ya Taifa ya Nigeria au Super Eagles imeweka rekodi katika mbio za kuwania kufuzu Afcon 2023 baad...
Harry Kane London, EnglandMshambuliaji wa Tottenham na timu ya Taifa ya England, Harry Kane amesema ujio wa Erling Haaland na Darwin Nunez katika...
Darwin Nunez London, EnglandStraika Darwin Nunez sasa mali ya Liverpool baada ya klabu hiyo kukubaliana na Benfica kumsajili mchezaji huyo kwa ad...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imejikita kusajili wachezaji wanne wa mataifa manne tofauti huku mafumbo yakitawala kuhusu wachezaji hao.Hayo yam...
Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Yanga, Saido Ntibazonkiza amewaaga rasmi wachezaji wenzake huku akiwaasa kuhakikisha wanapambana kuchukua...
Erling Haaland London, EnglandJuhudi za Man City kuisaka saini ya Erling Haaland hatimaye zimezaa matunda baada ya mchezaji huyo kusaini kuicheze...