Na mwandishi wetuBao la dakika za nyongeza limetosha kuinyima Yanga ushindi wa pili katika mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ya M...
Na mwandishi wetuUsiseme MwanaFA, sema mheshimiwa waziri. Kwa sasa ndilo jina sahihi la msanii wa muziki wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma ambaye a...
Na mwandishi wetuSimba hatimaye imefufua matumaini yake kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupata ushindi wa ugenini wa bao 1-0 ...
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Eric ten Hag amempongeza mchezaji wake Fred kwa namna alivyompunguza makali kiungo wa Barca, Frankie de J...
Eindhoven, UholanziKipa wa Sevilla, Marko Dmitrovic jana Alhamisi usiku alivamiwa uwanjani na shabiki wa PSV Eindhoven ambaye alimrushia ngumi na...
London, England.Winga wa Arsenal, Bukayo Saka wakati wowote kuanzia sasa anatarajia kusaini mkataba mpya na klabu hiyo inayoshika usukani kwenye ...
Manchester, EnglandUshindi wa mabao 2-1 ambao Man United imeupata jana Alhamisi usiku dhidi ya Barca, umempa jeuri kocha wa timu hiyo Erik ten Ha...
Na mwandishi wetuChama cha Netiboli Tanzania (Chaneta) kinatarajia kutoa mafunzo ya ukocha kuanzia ngazi ya awali, daraja la kwanza na la pili it...
Na mwandishi wetuLicha ya Yanga kupata ushindi dhidi ya KMC, kocha Nasreddine Nabi amechukizwa na viwango ambavyo vimeoneshwa na baadhi ya wachez...
Na mwandishi wetuKikosi cha Simba, kimeondoka Alhamisi hii jioni kuelekea Uganda kwa mchezo wao wa tatu wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afri...