Manchester, EnglandBaada ya kuichapa Arsenal mabao 4-1, kocha wa Man City, Pep Guardiola amesema kwamba upepo wa taji la Ligi Kuu England (EPL) h...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Rivers United ya Nigeria...
Na mwandishi wetuMshambuliaji nyota wa Yanga, Fiston Mayele amesema anatamani mno kubeba tuzo ya mfungaji bora katika michuano ya Kombe la Shirik...
Na mwandishi wetuOfisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amesema wamelazimika kwenda nchini Morocco ili kuipa timu muda wa kutosha kuizoea hal...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa KMC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amezipongeza timu za Simba na Yanga kwa hatua walizofika kwenye michuano ya klabu Afr...
Paris, UfaransaWashambuliaji wa timu ya Paris St-Germain (PSG) ya Ufaransa, Lionel Messi na Neymar wako mbioni kuihama timu hiyo, Neymar akiwaniw...
London, EnglandKipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris ametaka mashabiki wa timu hiyo waombwe radhi baada ya kufungwa mabao 6-1 na Newcastle, mato...
Na mwandishi wetuBakari Nondo Mwamnyeto leo Jumapili amekuwa 'mpishi' mzuri wa pasi za mabao yaliyofungwa na Fiston Mayele na kuifanya Yanga itok...
Barcelona, HispaniaKocha wa Barca, Xavi Hernandez amesema winga wake nyota mwenye miaka 15, Lamine Yamal (pichani) hana woga na amemjumuisha kwen...
Manchester, EnglandKwa mara nyingine kocha wa Man United, Erik ten Hag amemkingia kifua beki na nahodha wa timu hiyo, Harry Maguire akisema ni mc...