Zurich, SwitzerlandMorocco, Hispania zimepitishwa kuwa wenyeji wa fainali za Kombe la Dunia *WC) 2030 pamoja na Ureno lakini zipo dalili za kuibu...
Na mwandishi wetuTimu ya JKT Tanzania imeanza haraka marekebisho ya uwanja wake wa CCM Kambarage, ikisema inapambana kuhakikisha unafunguliwa kab...
Na mwandishi wetuMchezaji mpya wa Yanga Princess, Kaida Wilson raia wa Marekani amesema ana furaha kujiunga na timu hiyo akiahidi kufanya vizuri ...
Newcastle, EnglandNewcastle imerudi kwa kishindo St James Park ikiichapa PSG mabao 4-1 katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi ambayo ni ya kwanza k...
Na mwandishi wetuIhefu FC imeendelea kuwa mfupa mgumu mbele ya Yanga baada ya kuichapa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa kwenye U...
Na mwandishi wetuBeki wa Simba, Henock Inonga ambaye kwa sasa ni majeruhi, amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya DR Congo kinachojianda...
Na mwandishi wetuBodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungia Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga unaotumiwa na timu ya JKT Tanzania kama uwanja wa...
Manchester, EnglandMajanga yameendelea kuiandama Man United msimu huu baada ya jana Jumanne kufungwa mabao 3-2 na Galatasaray katika Ligi ya Mabi...
Na mwandishi wetuRais wa timu ya Singida Fountain Gate, Japhet Makau amesema baada ya kushindwa kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho A...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amepanga kukiboresha kikosi chake kwa kusajili wachezaji wapya watakaoiongezea nguvu timu hi...