Na mwandishi wetuUongozi wa klabu ya Yanga na benchi la ufundi la timu hiyo umemkabidhi kiungo Mudathir Yahya mchezo wao wa robo fainali wa Ligi ...
Madrid, HispaniaMshambuliaji wa Real MadrId, Vinicius Junior amejikuta akitokwa machozi mbele ya waandishi wa habari baada ya kukiri kwamba kadhi...
Na mwandishi wetuTimu ya Simba imetozwa faini ya Sh 1,000,000 kwa kosa la mashabiki wake na walinzi wa uwanjani kupanga njama na kufanikisha azma...
Rosario, ArgentinaPolisi nchini Argentina wanachunguza kuwapo madai ya familia ya mwanasoka maarufu nchini humo, Ángel Di Maria kutishiwa kifo ye...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Geita Gold FC, Denis Kitambi amesema atazitumia mechi tisa zilizobaki kuiweka timu hiyo sehemu salama kwenye msima...
Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Dani Alves ametoka jela (lupango) baada ya kulipa dhamana ya ...
Na mwandishi wetuBondia wa ngumi za kulipwa nchini, Meshack Mwankemwa amesema kuwa maandalizi ya pambano lake la kuwania ubingwa wa World Boxing ...
London, EnglandKiungo wa Arsenal, Declan Rice amefurahia kupewa nafasi ya kuwa nahodha wa timu ya England katika mechi ya leo Jumanne dhidi ya Ub...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars hatimaye imepata ushindi katika michuano ya Fifa Series 2024 inayofanyika nchini Azerbaij...
Na mwandishi wetuBaada ya kupoteza mchezo wa Fifa Series 2024 kwa bao 1-0 dhidi ya Bulgaria, kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Mor...