New York, MarekaniNahodha wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi amesema umri pekee hauwezi kuwa sababu ya yeye kustaafu soka badala yake at...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa timu ya taifa ya soka la watu wenye ulemavu ya Tanzania, Tembo Warriors, Salvatory Edward amesema kikosi chake kip...
Madrid, HispaniaWaendesha mashtaka wa Mahakama Kuu Hispania wamewasilisha hoja ya kutaka rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Hispania, Luis Rubi...
Na mwandishi wetuWapinzani wa Simba katika mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri hatimaye wametua nchini Jumatano hi...
Beijing, ChinaRais wa zamani wa Chama cha Soka China (CFA), Chen Xuyuan (pichani) amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kujihusisha na ...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Azam FC, Youssouf Dabo amesema kurejea kikosini kwa walinzi; Abdallah Sebo na Daniel Amoah kumeongeza uimara kweny...
Madrid, HispaniaBao la penalti la dakika za lala salama la Lucas Paqueta limetosha kuifanya Brazil itoke sare ya mabao 3-3 na Hispania katika mec...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman 'Morocco' amesema amepata kitu kikubwa kutokana na ushirik...
Na mwandishi wetuSimba leo Jumanne imevunja kambi ya siku saba Zanzibar na kurejea Dar es Salaam huku ikiwa na siri nzito kuelekea mchezo wao wa ...
Na mwandishi wetuUongozi wa klabu ya Yanga umeahidi kuwafuturisha mashabiki 60,000 watakaoingia Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam kushuhudia mchezo ...