Na mwandishi wetuBaada ya sare ya bila kufungana, Yanga imeendeleza rekodi ya kutopoteza mechi katika Ligi Kuu NBC kwa kuicharaza Singida Black S...
Yanga
Na mwandishi wetuWakati Yanga ikishangilia ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu NBC, mambo hayakuwa mazuri k...
Na mwandishi wetuYanga kama walivyo mahasimu wake Simba wote wameishia hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika msimu wa 2025-26 huku Yanga ikiis...
Na mwandishi wetuYanga imechapwa bao 1-0 na AS FAR Rabat ya Morocco katika Ligi ya Mabingwa Afrika, mechi iliyochezwa Jumamosi Februari 7, 2026, ...
Na mwandishi wetuTimu ya Al Ahly ya Misti imeendelea kujiimatrisha kileleni mwa msimamo wa Kundi B katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutoka...
Alexandria, MisriMambo si mambo kwa klabu ya Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Al Ahly ya Misti, mechi iliyopig...
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga imefuzu hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Singida Black Stars bao 1-0 katika mechi iliyochezwa I...
Na mwandishi wetuYanga ikiwa ugenini Algeria imefanikiwa kugawana pointi na wenyeji wao JS Kabylie katika mechi ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Af...
Na mwandishi wetuPrince Dube, mshambuliaji wa Yanga aliyekuwa akiandamwa na ukame wa mabao hatimaye amefuta ukame huo kwa kufunga bao pekee na la...
Na mwandishi wetuYanga imewashusha mahasimu wake, Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kuichapa KMC mabao 4-1 katika mechi iliyoch...