Barcelona, HispaniaKocha wa Barca, coach Xavi Hernández anadaiwa kupitia kipindi kigumu akipambana kuwaweka kwenye mstari wachezaji wake baada ya...
Kimataifa
Abidjan, Ivory CoastTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kulala kwa mabao...
Roma, Italia.Klabu ya AS Roma imetangaza kuachana na kocha Jose Mourinho na tayari kiungo wa zamani wa timu hiyo, Daniele De Rossi amekabidhiwa m...
London, UingerezaNahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Fifa wakati koc...
Riyadh, Saudi ArabiaMbarazil, Vinícius Júnior ameibuka shujaa baada ya kufunga mabao matatu (hat-trick) wakati Real Madrid ikiwanyuka mahasimu wa...
Abidjan, Ivory CoastBao la penalti la dakika za lala salama la nahodha wa Misri, Mohamed Salah limeiwezesha timu hiyo kutoka sare ya mabao 2-2 na...
London, EnglandKocha wa Man City, Mauricio Pochettino amepuuza habari kuwa Chelsea inahitaji kusajili straika katika kipindi cha usajili cha Janu...
Abidjan, Ivory CoastTimu ya taifa ya Cameroon au 'Indomitable Lions' ina matumaini ya kumtumia nahodha wake Vincent Aboubakar (pichani) kwenye fa...
Na mwandishi wetuWaziri wa Vijana, Michezo na Sanaa wa Kenya, Ababu Namwamba (pichani) ametuma salamu za kuitakia heri timu ya taifa ya Tanzania,...
Rio de Janeiro, BrazilKocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil, Dorival Junior (pichani) amesema Neymar ni kati ya wachezaji watatu bora duniani lak...