Manchester, EnglandManchester City inajipanga kumpa mkataba mpya mshambuliaji wake, Erling Haaland lengo likiwa ni kuzima ushawishi wa klabu za B...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuRais wa Fifa, Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe pamoja na marais wa vyama vya soka mae...
Manchester, EnglandMan United inajiandaa kuchukua uamuzi wa kuachana na winga wake Jadon Sancho (pichani) mapema Januari mwakani baada ya mchezaj...
London, EnglandMshambuliaji wa zamani wa England, Wayne Rooney anadaiwa kukubali kibarua cha kuinoa timu ya Birmingham City ikiwa ni siku chache ...
Na mwandishi wetuRasmi mshambuliaji wa FC Dallas ya Ligi Kuu Marekani, Benard Kamungo (pichani akiwa na Lionel Messi) amejumuishwa juzi kwa mara ...
Paris, UfaransaKocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps (pichani) ameupinga msimamo wa Fifa wa kuzipa nchi sita uenyeji wa fainali za...
London, EnglandWinga wa Arsenal, Bukayo Saka ameachwa katika kikosi cha England kinachojiandaa na mechi dhidi ya Australia na Italia kwa sababu y...
London, EnglandKocha wa Man City, Pep Guardiola amesema anajua kilichotokea lakini hataki kuelezea tukio la Erling Haaland na Kyle Walker kuzozan...
Barcelona, HispaniaMshambuliaji wa Barcelona, Lamine Yamal, 16, amevunja rekodi kwa kufunga bao katika Ligi Kuu Hispania au La Liga akiwa na umri...
New York, MarekaniWayne Rooney ameamua kuachia ngazi katika nafasi yake ya kocha mkuu wa timu ya D.C United ya Marekani baada ya timu hiyo kushuk...