Sao Paulo, BrazilMwanasoka gwiji wa Brazil, Pele hali yake inaelezwa kuzidi kuwa mbaya kutokana na maradhi ya saratani (kansa) yanayomsumbua kuon...
Kimataifa
London, EnglandKocha Pep Guardiola amesema muda wake katika klabu ya Man City utakuwa haujakamilika kama atashindwa kubeba taji la Ligi ya Mabing...
Madrid, HispaniaKiungo mkongwe wa Hispania, Andres Iniesta amesema kitendo cha Lionel Messi kushinda taji la Dunia hakiwezi kumaliza mjadala kuhu...
Kipa wa Argentina, Emiliano Martinez akidaka mkwaju wa penalti. Buenos Aires, ArgentinaJiji la Buenos Aires leo limechangamka, ni siku ya mapumzi...
Paris, UfaransaWachezaji wa timu ya Taifa ya Ufaransa, Kingsley Coman na Aurelien Tchouameni wamejikuta katika adha ya ubaguzi wa rangi kupitia m...
Paris, UfaransaMshambuliaji, Karim Benzema ametoa kauli inayoashiria kuachana na timu yaTaifa ya Ufaransa akidai maisha yake ya soka katika timu ...
Al-Lusail, QatarArgentina imetwaa taji la Dunia ikiibwaga Ufaransa kwa penalti 4-2, haikuwa rahisi, ilikuwa vita kali iliyoongozwa na washambulia...
Hatimaye Argentina imebeba Kombe la Dunia baada ya miaka 36 ikiwabwaga mabingwa watetezi Ufaransa kwa mikwaju ya penalti 4-2, matokeo yaliyokuja ...
London, EnglandKocha wa England, Gareth Southgate ataendelea kukinoa kikosi cha timu hiyo hadi baada ya fainali za Ulaya 2024 (Euro 2024). Chama ...