Riyadh, Saudi ArabiaCristiano Ronaldo ametupia kambani katika ushindi wa mabao 5-0 ambao Al Nassr iliupata jana Jumatano Februari 25, 2026 dhidi ...
Kimataifa
Miami, MarekaniMshambuliaji wa timu ya Inter Miami ya Marekani, Lionel Messi amesema kwamba kati ya mambo anayojutia akiwa mdogo ni kitendo cha k...
Cairo, MisriShirikisho la Soka Afrika (CAF) limelaani matukio yasiyokubalika yaliyojitokeza katika mechi kati ya Al Ahly ya Misti na AS FAR Rabat...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Miguel Gamondi, hatimaye amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo...
Cairo, MisriDroo ya timu nane zitakazocheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itafanyika kesho Jumanne Februari 17, 2026 kwenye ofisi za Ch...
Na mwandishi wetuYanga kama walivyo mahasimu wake Simba wote wameishia hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika msimu wa 2025-26 huku Yanga ikiis...
Bremen, UjerumaniMshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane ameweka rekodi mpya ya mabao kwa kufikisha mabao 500 katik...
Na mwandishi wetuSimba imemaliza kwa kishindo mechi yake ya mwisho ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stade Malien ya Mal...
Riyadh, Saudi ArabiaCristiano Ronaldo amerejea kwa mara nyingine katika kikosi cha kwanza cha Al Nassr katika mechi dhidi ya Al Fateh baada ya ku...
Tunis, TunisiaKlabu ya Espérance ya Tunisia imemfuta kazi kocha Maher Kanzari (pichani) baada ya timu hiyo kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa...