Madrid, HispaniaKocha Xabi Alonso ametangaza kuanza kwa zama mpya mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya Real Madrid y...
Na mwandishi wetu, ZanzibarSimba yakwama, ndicho kilichotokea leo Jumapili Mei 25, 2025 kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar baada ya kushindwa kubeb...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ametangazwa kuwa nyota wa msimu wa 2024-25 wa Ligi Kuu England (EPL).Mara ya kwanza Sa...
Na mwandishi wetuMatumaini ya Simba kucheza mechi yao ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco kwenye Uwanja wa Benja...
Fenerbahce, UturukiKocha wa Fenerbahce ya Uturuki, Jose Mourinho amekana kufanya mazungumzo na mabosi wa Shirikisho la Soka Ureno ili awe kocha w...
Na mwandishi wetuYanga imetua hatua ya fainali Kombe la Shirikisho CRDB baada ya kuinyuka JKT Tanzania mabao 2-0 katika mechi ya nusu fainali ili...
Barcelona, HispaniaMshambuliaji wa Man United, Marcus Rashford inadaiwa yuko tayari na anaufurahia mpango wa kusajliwa Barcelona au Barca kwa mak...
Na mwandishi wetuSimba imeanza vibaya mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kulala kwa mabao 2-0 mbele ya RS Berkane ...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amesema beki wa timu hiyo Trent Alexander-Arnold (pichani) hakustahili kuzomewa na baa...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepewa pointi tatu dhidi ya timu ya taifa ya Congo Brazaville katika mechi za awali kuwa...