Na mwansishi wetuKipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba baada ya kufanya vizuri kwenye michezo...
Barcelona, HispaniaKocha wa Barcelona, Hansi Flick amesema haiwezekani kusema kama mshambuliaji wake Lamine Yamal atakuwa fiti kwa ajili ya mechi...
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Ruben Amorim amesema itakuwa ni jambo la ajabu kufikiria kwamba ataruhusiwa kuendelea kuinoa timu hiyo ka...
Na mwandishi wetuBeki Ibrahim Abdullah 'Ibra Bacca' wa Yanga amefungiwa mechi tano za Ligi Kuu NBC kwa kosa la kumchezea rafu Ibrahim Ame wa Mbey...
Na mwandishi wetuWakati mashabiki Simba wakisubiri kwa hamu kumjua kocha mpya wa timu hiyo, klabu hiyo imemtambulisha Dimitar Pantev kuwa meneja ...
London, EnglandKiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa England kwa msimu uliopita wa 2024-25 akiwashin...
Na mwandishi wetuSimba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyochezwa Jumatano hii Oktoba Mosi, 20...
Liverpool, EnglandBeki wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher (pichani) hafurahishwi na staili ya uchezaji ya timu hiyo ambayo amesema inafanana...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman 'Morocco' ametangaza kikosi cha wachezaji 26 wa timu ya taifa k...
London, EnglandKocha wa Chelsea, Enzo Maresca amepinga madai kwamba kuna tatizo la utovu wa nidhamu katika timu yake licha ya timu hiyo kupata ka...