Munich, UjerumaniKlabu ya Bayern Munich imesema beki wa zamani wa timu hiyo na timu ya taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng (pichani juu) hatokuwa ...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa zamani wa Man United na timu ya taifa ya England, Wayne Rooney amehusisha uongozi na matokeo mabaya yanayoikuta...
New York, MarekaniWanadada ndugu waliojipatia umaarufu duniani kupitia mchezo wa tenisi, Venus na Serena Williams wamejipanga katika kuhakikisha ...
Na mwandishi wetuKocha mkuu mpya wa Yanga, Pedro Gonçalves, ameanza na ushindi baada ya timu yake kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 katika mechi ya...
Madrid, HispaniaReal Madrid imetoka kifua mbele dhidi ya mahasimu wao Barcelona kwa kuwachapa mabao 2-1, leo Jumapili Oktoba 26, 2025, mechi amba...
Na mwandishi wetuTimu ya Simba hatimaye imefuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na hivyo kuzifanya timu za Tanzania zilizofuzu hatua hiy...
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga hatimaye imefuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiichapa Silver Strikers ya Malawi mabao 2-0 na hivy...
Liverpool, EnglandKocha wa Liverpool, Arne Slot amesisitiza kuwa ukame wa mabao unaomkabili mshambuliaji wake Mohamed Salah ni jambo la mwisho ka...
Na mwandishi wetuAzam FC imetinga kwa kishindo hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika ikiichakaza KMKM mabao 7-0 na kusonga mbele kwa jumla ...
Na mwandishi wetuBeki na nahodha wa Simba, Shomari Kapombe amechaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 20...