Na mwandishi wetuKlabu ya Simba imesema kuwa hawana mpango wa kumuachia mshambuliaji wao Moses Phiri kwenye dirisha lijalo la usajili licha ya ku...
Nyota wa zamani wa mpira wa kikapu, Magic Johnson ametangazwa na jarida maarufu duniani la uchumi na biashara, Forbes kuwa bilionea na hivyo kufa...
Na mwandishi wetuUongozi wa Coastal Union umeeleza kuwa mpaka sasa umepokea wasifu wa makocha zaidi ya 50 kwa ajili ya kurithi nafasi ya Mwinyi Z...
Madrid, HispaniaAliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka Hispania, Luis Rubiales amefungiwa na Fifa kujihusisha na mambo yote yanayohusu soka kwa mia...
Na mwandishi wetuSiku mbili baada ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Baraza la Ushauri Simba SC, Geofrey Nyange 'Kaburu' ameahidi kuhakikisha le...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina na Inter Miami FC ya Marekani, Lionel Messi ameibuka kinara wa tuzo ya Ballon d'Or kwa ...
Manchester, EnglandKocha Erik ten Hag wa Man United amesema kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya Man City ambacho timu yake imekipata katika Manchester ...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya kushinda mabao 2-0 dhidi ya Singida Fountain Gate lakini ameeleza kufurahis...
Barrancas, ColombiaWanajeshi zaidi ya 120 nchini Colombia wanaendesha operesheni kumsaka Luis Manuel Diaz ambaye ni baba wa mshambuliaji wa Liver...
Na mwandishi wetuWadhamini wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Klabu ya Yanga, Shirika la Bima la Taifa (NIC), limeahidi kutoa Sh milioni nne kwa mchezaj...