Na mwandishi wetuYanga leo Jumamosi imeichapa Asas ya Djibout mabao 5-1 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 7-1 katika michuano ya Lig...
Category: Soka
Na mwandishi wetuAzam FC imeaga rasmi michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya awali ikitolewa kwa mikwaju ya penalti 4-3 na Bahir ...
Na mwandishi wetuBaada ya kufunga bao lake la kwanza, mshambuliaji wa Yanga, Hafiz Konkoni amesema ameanza kuuwasha moto na atahakikisha anaifany...
Na mwandishi wetuAzam FC leo Ijumaa itakuwa kibaruani dhidi ya Bahir Dar Kenema ya Ethiopia kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afr...
Na mwandishi wetuYanga imeianza Ligi Kuu NBC kwa kishindo na kutoa onyo kwa timu nyingine baada ya kuilaza KMC mabao 5-0 katika mechi iliyopigwa ...
Na mwandishi wetuUongozi wa Simba umeeleza kuwa unafahamu timu yao haichezi katika ubora wake lakini wanaamini hilo ni suala la muda na kocha Rob...
Na mwandishi wetuKocha wa Tanzania Prisons, Fred Minziro amesema nidhamu iliyooneshwa na wachezaji wake katika mchezo dhidi ya Singida Fountain G...
Na mwandishi wetuKlabu ya Tabora United imetangaza kunasa saini ya kiungo wa zamani wa Yanga, Papy Tshishimbi kwa mkataba wa mwaka mmoja.Tabora i...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka 17 (U17), Bakari Shime (pichani) ameita wachezaji 23 watakaoingia kam...
Na mwandishi wetuYanga imeanza na mguu mzuri michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuilaza ya Asas ya Djibout mabao 2-0 wakati Azam ikilala kwa...