Bremen, UjerumaniMshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane ameweka rekodi mpya ya mabao kwa kufikisha mabao 500 katik...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuSimba imemaliza kwa kishindo mechi yake ya mwisho ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stade Malien ya Mal...
Riyadh, Saudi ArabiaCristiano Ronaldo amerejea kwa mara nyingine katika kikosi cha kwanza cha Al Nassr katika mechi dhidi ya Al Fateh baada ya ku...
Tunis, TunisiaKlabu ya Espérance ya Tunisia imemfuta kazi kocha Maher Kanzari (pichani) baada ya timu hiyo kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa...
Na mwandishi wetuKamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) itafanya kikao chake jijini Dar es Salaam, Tanzania Ijumaa Machi 14, mwaka...
Barcelona, HispaniaRais wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Joan Laporta ametangaza kujiuzulu wadhifa huo ingawa anatarajia kuingia katika mbio za...
Na mwandishi wetuYanga imechapwa bao 1-0 na AS FAR Rabat ya Morocco katika Ligi ya Mabingwa Afrika, mechi iliyochezwa Jumamosi Februari 7, 2026, ...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kitendo cha timu yake kuongoza Ligi Kuu England (EPL) kwa tofauti ya pointi tisa hakina maa...
Na mwandishi wetuHesabu za Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika sasa ni rasmi zimefikia tamati kwa msimu huu wa 2025-26 baada ya sare ya bao 1-1 ...
Riyadh, Saudi ArabiaSasa ni wazi kuwa siku za Cristiano Rinaldo katika klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia zinahesabika na zipo habari kwamba klabu...