Doha, QatarBaada ya Argentina kukubali kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Saudi Arabia jana Jumanne, Ujerumani nao leo Jumatano wamekutana na kipigo ...
Category: Kimataifa
Manchester, EnglandKocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameongeza miaka miwili katika mkataba wake na klabu hiyo na hivyo ataendelea kukinoa k...
Doha, QatarNahodha wa timu ya Argentina, Lionel Messi amewaambia wachezaji wenzake wa timu hiyo kwamba hawana wa kumlaumu baada ya kipgo cha maba...
Doha, QatarKiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong aliyekuwa akisakwa na Man United hatimaye ametangaza kwamba anataka kuichezea Barcelona kwa miaka...
Doha,, QatarEngland imezianza vizuri mbio za fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea Qatar kwa kuibugiza Iran mabao 6-2 katika mechi ya Kundi B i...
Doha, QatarEngland, Wales na mataifa mengine ya Ulaya hawatavaa tena vitambaa maalum vyenye ujumbe wa umoja na mapenzi kwa wote kwenye fainali za...
Doha, QatarEngland na Wales leo Jumatatu zinacheza mechi zao za kwanza za fainali za Kombe la Dunia, mechi ambazo pia zinawaweka mashabiki katika...
Doha, QatarKlabu ya Barcelona ndiyo inayoongoza kuwa na wachezaji wengi Qatar kwenye fainali za Kombe la Dunia ikiwa na wachezaji 17 ikifuatiwa n...
Doha, QatarWenyeji Qatar wamezianza vibaya fainali za Kombe la Dunia baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 mbele ya Ecuador katika mechi ya Kun...
Doha, QatarMshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ufaransa, Karim Benzema anazikosa fainali za Kombe la Dunia baada ya kuumia misuli ya paja la mguu wa...