Abu Dhabi, UAEShirikisho la Soka Saudi Arabia (SAFF) litapitia upya sheria zinazowahusu mashabiki wa soka baada ya tukio la shabiki mmoja kumchap...
Na mwandishi wetuUongozi wa Singida Fountain Gate umefunguka kuwa unaendelea na uchunguzi kuhusu utata wa kutoroka kambini kwa kipa wao, Beno Kak...
London, EnglandRufaa ya Everton kupinga kupokwa pointi kwa kosa la kwenda kinyume na kanuni za Ligi Kuu England za matumizi ya fedha, itasiklizwa...
Na mwandishi wetuImeelezwa kuwa bodi ya kusimamia ngumi za kulipwa nchini Uingereza imemfungia bondia Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe' wa Tanzania ku...
London, EnglandBaada ya Arsenal kulala kwa mabao 2-0 mbele ya Aston Villa, kocha wa timu hiyo, Mikel Arteta amewataka wachezaji wake kusimama ima...
Na mwandishi wetuYanga imeendelea kutembeza vichapo katika Ligi Kuu NBC baada ya kuichapa Singida Fountain Gate mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa...
Leverkusen, UjerumaniKlabu ya Bayer Leverkusen hatimaye imebeba kwa mara ya kwanza taji la Ligi Kuu Ujerumani maarufu Bundesliga baada ya kuibuka...
Na mwandishi wetuSimba imeendelea kujiweka pagumu katika mkakati wa kulibeba taji la Ligi Kuu NBC baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Ihefu katika...
Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa klabu za Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves ameonesha jeuri ya fedha baada ya kumrudishia baba...
Manchester, EnglandMan City leo Jumanne itaumana na Real Madrid katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi ambayo inatarajiwa pia kutaw...