Na mwandishi wetuMakocha Charles Boniface Mkwasa (pichani) na Abdallah Kibadeni wamefurahishwa na kulipongeza Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mas...
Manchester, EnglandKiungo wa Man City, Phil Foden ametangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu England (EPL) ikiwa ni siku moja kabla ya t...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda amesema wakijipanga sawasawa wataondoka na pointi zote tisa katika mechi tatu zilizob...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema ndoto zake za kubeba taji la Ligi Kuu England (EPL) kesho Jumapili zipo hai wakati huu akij...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Ihefu FC, Mecky Maxime amesema anatambua wapinzani wao katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB, Y...
Munich, UjerumaniKocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amethibitisha kuwa ataachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu licha ya kuwapo mazungum...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Morocco amesema anaamini kikosi chake kitacheza kwa mabadiliko makubwa kuelekea mechi...
Barcelona, HispaniaMpango wa Barcelona 'Barca' kumbakisha kocha Xavi baada ya msimu huu unaonekana kugonga mwamba kutokana na kauli ya kocha huyo...
Na mwandishi wetuSimba imeongeza pointi tatu muhimu katika mbio za kuchuana na Azam FC kuisaka nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu NBC baada ya kuilaz...
Amsterdam, UholanziMshambuliaji wa zamani wa timu za Arsenal na Man United, Robin van Persie ametangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Heerenveen a...