Manchester, EnglandMshambuliaji mkongwe Man United, Wayne Rooney amesema timu hiyo inahitaji mabadiliko makubwa katika usajili ambapo ameshauri t...
Na mwandishi wetuYanga imeamua kuweka kando sherehe za ubingwa na kuwekeza katika kusaka ushindi wakitambua kuwa na kibarua kigumu cha nusu faina...
Riyadh, Saudi ArabiaWinga wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo ametajwa na jarida maarufu la Forbes kuwa ndiye mwanamichezo anayelipwa ...
Na mwandishi wetuBaraza la Michezo Tanzania (BMT) limesema kuwa Tuzo za BMT zitafanyika Juni 9 mwaka huu huku vipengele viwili vikiongezwa katika...
Manchester, EnglandKipa wa Man City, Ederson ataikosa mechi ya mwisho ya Ligi Kuu England (EPL) keshokutwa Jumapili pamoja na ile ya fainali ya K...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Suleiman Serera (pichani) amelitaka Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liwe na mipango ...
Madrid, HispaniaKipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois aliyekuwa majeruhi anatarajia kucheza mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya B...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu Simba, Juma Mgunda amesema wanaihitaji nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu NBC kutokana na umuhimu wao wa kuwakilish...
London, EnglandKlabu ya Wolverhampton Wanderers imeanzisha kampeni ya kuachana na matumizi ya VAR katika Ligi Kuu England (EPL) ambapo klabu 20 z...
Na mwandishi wetuMeneja habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewapongeza mahasimu wao Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu NBC msimu hu...