Na mwandishi wetuUbora wa kikosi cha timu ya Singida Big Stars unampa matumaini kocha mkuu wa timu hiyo, Hans Pluijm (pichani) kumaliza msimu huu...
Na mwandishi wetuKocha Msaidizi Yanga, Cedric Kaze amekiri timu yake kupata upinzani mkubwa wanapoumana na KMC lakini watapambana kupata ushindi ...
Na Hassan KinguSimba hii tusiidharau, bado ina nafasi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya kufungwa mabao 3-0 na Raja Casablanca ya Morocco na...
Liverpool, EnglandMmiliki wa klabu ya Liverpool, John Henry amesema kwa sasa hawana mpango wa kuiuza klabu hiyo licha ya hapo kabla kunukuliwa ak...
London, EnglandKlabu ya Tottenham Hotspur imeyataka makampuni ya mitandao ya kijamii kuchukua hatua baada ya mchezaji wao, Son Heung-min kushambu...
Manchester, EnglandMarcus Rashford ameendelea kuwa moto, mabao mawili aliyofunga kati ya matatu katika ushindi wa Man United wa mabao 3-0 dhidi y...
Na mwandishi wetuYanga hatimaye imerejesha furaha kwa mashabiki baada ya kuilaza TP Mazembe ya DR Congo mabao 3-1 katika mechi ya Kombe la Shirik...
Na mwandishi wetuJumamosi imekuwa siku ya hovyo kwa timu ya Simba baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 mbele ya Raja Casablanca kwenye Uwanja ...
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga imeeleza kuwa imejipanga kesho Jumapili kurejesha furaha kwa mashabiki wake kwa kuibuka na ushindi watakapovaana n...
Na mwandishi wetuLicha ya kufungwa mabao 3-2 na Geita Gold, timu ya Ruvu Shooting imeeleza kuwa bado ina nafasi ya kuendelea kupambana kuhakikish...