Manchester, EnglandBeki wa zamani wa Man United, Gary Neville amekerwa kwa jinsi klabu hiyo inavyochunguza sakata la mshambuliaji Mason Greenwood...
Na mwandishi wetuBondia Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ amemtaka mpinzani wake Banja Hamisi kuwa makini kwani amepanga kumpiga kwa sifa ili adhihiris...
Madrid, HispaniaSaa chache baada ya Olga Carmona kufunga bao lililoiwezesha Hispania kuilaza England 1-0 na kubeba Kombe la Dunia la Wanawake (WW...
Madrid, HispaniaRais wa Shirikisho la Soka Hispania, Luis Rubiales ameshutumiwa kwa kumpiga busu 'zito' mchezaji wa timu ya Hispania Jenni Hermos...
Na mwandishi wetuYanga imeanza na mguu mzuri michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuilaza ya Asas ya Djibout mabao 2-0 wakati Azam ikilala kwa...
Na mwandishi wetuKiu ya mashabiki wa Simba kumuona mshambuliaji wao, Moses Phiri akizifumania nyavu imetimia Jumapili hii baada ya kufunga bao ka...
Sydney, AustraliaTimu ya Wanawake ya Hispania imeibwaga England bao 1-0 na kubeba Kombe la Dunia la Wanawake (WWC) katika mechi ya fainali iliyop...
Milan, ItaliaKocha wa zamani wa Napoli, Luciano Spalletti (pichani) ametangazwa na Shirikisho la Soka Italia kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya Taif...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Namungo, Cedric Kaze amesema wanapambana kuhakikisha wanaingiza falsafa ya namna ya kupata matokeo mfululizo na ku...
Bremen, UjerumaniNahodha wa England, Harry Kane kwa mara ya kwanza jana Ijumaa aliifungia bao timu yake mpya ya Bayern Munich iliyoipata ushindi ...