Na mwandishi wetuMkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Tanzania, Ally Mayay (pichani) amewataka viongozi TFF kurejesha utaratibu wa kuujulisha umma ...
Mainz, UjerumaniWinga wa Mainz 05 ya Ujerumani, Anwar El Ghazi (pichani) amezuia kufanya mazoezi na kucheza mechi za timu hiyo baada ya kuweka kw...
London, EnglandHatimaye England imefuzu fainali za Kombe la Ulaya 2024 (Euro 24) baada ya kuichapa Italia mabao 3-1 katika mechi ambayo ubora wa ...
Na mwandishi wetuKiungo wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Baraka Majogoro amesema anashukuru Mungu kutimia kwa ndoto yake ya kucheza nje...
Na mwandishi wetuHatimaye timu ya JKT Tanzania imeeleza kuwa kwa sasa kuutumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam kwa ajili ya ...
London, EnglandKocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate amesema hatojali tukio la kiungo wake Jordan Henderson kuzomewa na mashabiki k...
Hasheem Ibwe Na mwandishi wetuTimu ya Azam FC imeeleza kuwa inaamini huu ni msimu wao wa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu NBC kutokana na hali walizo...
Lionel Messi baada ya kubeba Kombe la Dunia 2022 katika fainali zilizofanyika Qatar. Lima, PeruKocha wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Scalon...
Na mwandishi wetuWawakilishi wa Tanzania kwenye fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake, timu ya JKT Queens watatupa karata yao ya kwanza...
London, EnglandKiungo wa England, Jordan Henderson ameamua kuwapuuza mashabiki wa England waliomzomea katika mechi yao na Australia akisema amepo...