Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imeisifu Azam FC kwa uungwana iliouonesha kwenye suala la usajili wa kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kufuata t...
Yanga
Na mwandishi wetuMwanasheria wa kiungo Feisal Salum au Fei Toto, Jasmin Razak amesema kuwa sasa wako tayari kukutana na Yanga kulimaliza suala la...
Algers, AlgeriaKipa wa Yanga, Djigui Diarra ambaye ametwaa tuzo ya nyota wa mchezo katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, amesema...
Na Hassan KinguJumapili fulani hivi ya mwisho mwezi Novemba mwaka 1993, jiji la Dar au Tanzania ilitawaliwa na ukimya, Simba ilikuwa imetoka kupo...
Algers, AlgeriaYanga imeshindwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Tanzania kubeba Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kuilaza USM Algers bao 1...
Na Hassan KinguYanga kesho Jumamosi itashuka dimbani kwenye fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger. Fainali y...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino (pichani) ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi...
Na mwandishi wetuWakati kikosi cha Yanga kikitarajia kuondoka kesho Alhamisi kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa fainali ya Komb...
Na mwandishi wetuSerikali ya Tanzania imeeleza kukamilisha mipango yote kwa ajili ya safari ya Yanga kuelekea Algeria kwenye mechi ya fainali ya ...
Na mwandishi wetuYanga leo Jumapili imeanza vibaya mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 2-1 na USM Al...