New York, MarekaniFerran Torres ameibuka shujaa baada ya kufunga bao pekee na kuiwezesha Hispania kutoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Argentina...
Hispania
Madrid, HispaniaBao la penalti la dakika za lala salama la Lucas Paqueta limetosha kuifanya Brazil itoke sare ya mabao 3-3 na Hispania katika mec...
Na Hassan KinguUshindi wa timu ya wanawake ya Hispania kwenye Kombe la Dunia umeibua mjadala wa nje ya soka baada ya mshambuliaji wa timu hiyo, J...
Madrid, HispaniaAngeles Bejar ambaye ni mama wa rais wa Shirikisho la Soka Hispania (REEF) aliyesimamishwa, Luis Rubiales amekimbizwa hospitali a...
Madrid, HispaniaHatma ya kocha wa wanawake wa timu ya Hispania, Jorge Vilda (pichani juu) huenda akatimuliwa baada ya kuwapo habari kwamba Shirik...
Geneva, UswisiShirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemsimamisha kwa siku 90, Rais wa Shirikisho la Soka Hispania (REEF), Luis Rubiales wakati...
Madrid, HispaniaBaada ya Rais wa Shirikisho la Soka Hispania (REEF), Luis Rubiales kukataa kujiuzulu kwa kosa la kumpiga busu mdomoni mshambuliaj...
Madrid, HispaniaWaziri Mkuu wa Hispania, Pedro Sanchez amekerwa na kitendo cha kiongozi wa Shirkisho la Soka Hispania (RFEF), Luis Rubiales kumpi...
Madrid, HispaniaSaa chache baada ya Olga Carmona kufunga bao lililoiwezesha Hispania kuilaza England 1-0 na kubeba Kombe la Dunia la Wanawake (WW...
Madrid, HispaniaRais wa Shirikisho la Soka Hispania, Luis Rubiales ameshutumiwa kwa kumpiga busu 'zito' mchezaji wa timu ya Hispania Jenni Hermos...