Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imesema haina cha kuuthibitishia umma na mashabiki juuya uwezo wao msimu huu, isipokuwa Simba ndio watakaokuwa na...
Category: Soka
na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi na kueleza kwambasi vyema kuyashushamashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Na mwandishi wetuMatumaini waliyokuwa nayo Simba ya kucheza nusu fainali ya Kombe laShirikisho Afrika yametoweka baada ya timu hiyo kutolewa na O...
Na mwandishi wetuKiungo mchezeshaji wa Simba, Larry Bwalya amejinasibu kuwa wanatakakuweka rekodi na kufuta kushindwa kwa timu za Tanzania kufiki...
Na mwandishi wetuHawakukosea waliompa Shomary Kapombe jina la utani la 'Show me the way' yaani nionyeshe njia. Jana usiku wa Jumapili, Kapombe ni...
London, EnglandWimbi jipya la virusi vya omicron vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 limeibua hofu katika Ligi Kuu England hali iliyosababisha b...
Na mwandishi wetuSi Yanga si Simba, ndio matokeo ya mechi ya watani wa jadi katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Ben...
Sao Paulo, BrazilNyota wa soka wa zamani wa Brazil aliyetwaa taji la Dunia mara tatu, Pele amerudishwa hospitali hali ambayo imemgusa nyota wa Ma...
Kikosi cha Simba Na mwandishi wetu Wakati fulani mwaka 2000, Yanga ikiwa imetoka kuchukua taji la Ligi Kuu msimu wa 1999/2000 aliyekuwa mwenyekit...
Na Abdul MohammedJuni 17, 2008 kijana wa miaka 37 anatangazwa rasmi mbele ya jopo la waandishi wa habari kuwa ndiye kocha mpya wa klabu ya Barcel...