Fenerbahce, UturukiKocha wa Fenerbahce ya Uturuki, Jose Mourinho amekana kufanya mazungumzo na mabosi wa Shirikisho la Soka Ureno ili awe kocha w...
Kimataifa
Barcelona, HispaniaMshambuliaji wa Man United, Marcus Rashford inadaiwa yuko tayari na anaufurahia mpango wa kusajliwa Barcelona au Barca kwa mak...
Na mwandishi wetuSimba imeanza vibaya mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kulala kwa mabao 2-0 mbele ya RS Berkane ...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amesema beki wa timu hiyo Trent Alexander-Arnold (pichani) hakustahili kuzomewa na baa...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepewa pointi tatu dhidi ya timu ya taifa ya Congo Brazaville katika mechi za awali kuwa...
Manchester, EnglandKiungo wa Man United, Casemiro amepongeza uamuzi wa kumpa kocha Carlo Ancelotti jukumu la kuinoa timu ya taifa ya Brazil akida...
Madrid, HispaniaBaada ya Shirikisho la Soka Brazil (CBF) kumtangaza rasmi, Carlo Ancelotti kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya nchi hiyo, Ancelotti m...
Leverkusen, UjerumaniKocha wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso (pichani) amethibitisha kuwa anaachana na timu hiyo mwisho wa msimu huu huku akitajwa...
Na mwandishi wetuWachezaji 30 wa timu ya soka ya wanawake ya Tanzania 'Twiga Stars' wakiwamo 10 wanaocheza soka nje ya nchi wametangazwa rasmi le...
Paris, UfaransaBaada ya Arsenal kutolewa kwenye nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya, kocha wa timu hiyo, Mikel Arteta amesema timu yake ndiyo ili...