Porto, UrenoMshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amethibitisha kuwa fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakuwa za mwisho kwake...
Kimataifa
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Miguel Gamondi amewaita katika kikosi chake Kelvin Nashon wa Singida Black Star...
Manchester, EnglandMshambuliaji majeruhi wa Man United, Benjamin Sesko atazikosa mechi muhimu za kufuzu Kombe la Dunia na timu yake ya taifa ya S...
Berlin, UjerumaniBao la kichwa la Harry Kane alilofunga dakika za nyongeza limeiokoa Bayern Munich na hatimaye kutoka sare ya 2-2 dhidi ya Union ...
London, EnglandKocha wa Man United, Ruben Amorim ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi Oktoba kwa Ligi Kuu England (EPL), tuzo ambayo ameibeba kwa ...
Na mwandishi wetuJina la mshambuliaji Kelvin John limo katika orodha ya wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars watakaocheza mechi ya...
Madrid, HispaniaKlabu ya Real Madrid inadaiwa imetoa ruhusa kwa mshambuliaji wake Vinicius Junior kuondoka katika timu hiyo baada ya tafrani iliy...
Lubumbashi, DR CongoKlabu ya soka ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha mmoja wa mashabiki wake kuuawa Jumapili i...
Na mwandishi wetuKocha wa Singida Black Stars ambaye pia amewahi kuwa kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Ta...
Manchester, EnglandMshambuliaji nyota wa Man City, Erling Haaland amepuuza kitendo cha kulinganishwa na mastaa Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ...